ITA
FRA
ENG
POR
ARA
ETH
TIG
KIS
II Special Assembly for Africa
SYNOD FOR AFRICA
October, 4-25 2009
The Churc in Africa in service to reconciliation, justice and peace
Follow
the Synod
Argomentation
State of Africa
THE VATICAN
su YouTube
List of Partecipants
- IN THE WAY OF PARTICIPATION
List of Partecipants
- IN ALPHABETICAL ORDER
General Calendar
Introduction to the Synod
Instrumentum Laboris
APOSTOLIC EXHORTATION
- First Synod for Africa
SYNODUS EPISCOPORUM
- Final list of propositions
SYNODUS EPISCOPORUM
Videonews
The latest news on Synod for Africa
24/01/2012 7.41.24
Nafasi za Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa Barani Afrika
Kardinali Peter Turkson, Rais wa Baraza la Kipapa la haki na amani anasema Sinodi za Maaskofu wa Afrika zimekuwa ni nyenzo makini katika
21/12/2011 8.59.30
Familia ni tabernakulo inayohifadhi na kulinda zawadi ya maisha kutoka kwa Mwenyezi Mungu!
Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, katika hati ya kichungaji mara baada ya Maadhimisho ya Awamu ya Pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika,
30/11/2011 7.40.32
Haki, amani na upatanisho ni fadhila zinazopata chimbuko lake katika upendo!
Kardinali Robert Sarah, Rais wa Baraza la Kipapa linaloratibu misaada ya Kanisa Katoliki duniani, Cor Unum anasema, wakati huu Kanisa Barani Afrika
26/11/2011 10.59.04
Familia ya watu wa Mungu Barani Afrika ianze sasa utekelezaji wa hati ya Africae Munus kwa toba na wongofu wa ndani, ili kuchuchumilia utakatifu wa maisha!
Kikosi kazi kutoka katika Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM, kilichohitimisha mkutano wake hivi karibuni mjini
25/11/2011 7.42.21
Africae Munus: sehemu ya pili: utekelezaji wa utume wa Kanisa Barani Afrika
Baada ya kukujuvya kwa muhtasari sehemu ya kwanza ya Hati ya kichuchangi ya Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, Africae Munus: Usikivu wa
23/11/2011 13.45.04
Africae Munus: sehemu ya kwanza: miundombinu katika utume wa Kanisa Barani Afrika
Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, katika hati yake ya kichungaji Africae Munus; Usikivu wa Injili ni Dhamana ya Afrika kwa Kristo; sehemu ya
22/11/2011 13.45.23
Umefika wakati kwa Kanisa Barani Afrika kumwilisha hati ya kichungaji mara baada ya Sinodi ya pili ya Maaskofu: Africae Munus
Kardinali Polycarp Pengo, Rais wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Afrika na Madagascar, SECAM, ameitaka Familia ya Watu wa Mungu Barani Afrika,
21/11/2011 8.17.27
SECAM yaanza mkutano wa utekelezaji wa hati ya kichungaji Africae Munus
Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, chini ya Kardinali Polycarp Pengo, Rais wa SECAM, kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 24
20/11/2011 10.13.21
Maaskofu wa Afrika wakabidhiwa matunda ya Sinodi: Africae Munus, Familia za Kikristo ziwe ni shule ya tunu msingi za kifamilia na kiutu!
Baada ya maadhimisho ya Ibada ya Misa Takatifu, Askofu mkuu Nikola Etrovic, Katibu mkuu wa Sinodi za Maaskofu, baada ya Baba Mtakatifu Benedikto wa
20/11/2011 8.52.12
Msalaba wa Kristo kiwe ni kielelezo cha umoja, huduma ya upendo, chombo cha upatanisho, haki na amani
Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita ameadhimisha Siku kuu ya Kristo Mfalme na umati wa waamini kutoka sehemu mbali mbali Barani Afrika,
19/11/2011 11.56.56
Papa aweka sahihi kwenye hati ya kichungaji ya Awamu ya Pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika, Africae Munus
Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, kwa kutia sahihi kwenye hati ya kichungaji mara baada ya Maadhimisho ya awamu ya Pili ya Sinodi ya Maaskofu
19/11/2011 7.25.12
HATI YA KICHUNGAJI YA BENEDIKTO XVI: AFRICAE MUNUS: USIKIVU WA INJILI NI DHAMANA YA AFRIKA KWA KRISTO!
Hati ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita mara baada ya maadhimisho ya awamu ya pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika,
18/11/2011 12.27.04
Hija ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Barani Afrika, inaonesha utashi wa Afrika kutaka kujikita katika misingi ya haki, amani na upatanisho!
Rais Giorgio Napolitano wa Italia amempongeza Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita kwa salam na matashi mema wakati wa hija yake ya kichungaji
18/11/2011 10.29.22
Baba Mtakatifu asema lengo la hija yake ni kuwasilisha matunda ya Awamu ya pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika
Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, Ijumaa tarehe 18 Novemba, 2011 alasiri amewasili kwenye Uwanja wa Kardinali Bernadin Gantini na kulakiwa na
18/11/2011 8.42.31
Matumaini ya Bara la Afrika katika mwanga wa Kiinjili
Askofu mkuu Nikola Etrovic, Katibu mkuu wa Sinodi za Maaskofu anasema, matumaini ya Kanisa Barani Afrika hayana budi kuzingatia mwanga wa Kiinjili,
18/11/2011 8.27.47
Familia ya Mungu Barani Afrika ikiwajibika barabara, haki, amani na upatanisho vitashika mkondo wake katika maisha na vipaumbele vya watu wake!
Mheshimiwa Padre Speratus Kamanzi, Mkuu wa Shirika la Mitume wa Yesu, lenye makao makuu yake mjini Nairobi, Kenya anasema, Kanisa Barani Afrika
16/11/2011 8.23.57
Matunda ya awamu ya pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika yawafikie walengwa wote na yawe ni sehemu ya mikakati ya kichungaji kwa Kanisa la Afrika!
Askofu mkuu Yuda Thadeus Ruwaichi, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, katika mahojiano maalum na Radio Vatican anasema, Kanisa Barani
16/11/2011 8.07.53
Sinodi za Maaskofu wa Afrika zimelijengea Kanisa la Afrika hadhi na heshima ili kuendelea kuchangia katika ustawi na maendeleo ya Kanisa la kiulimwengu!
Kardinali Polycarp Pengo, Rais wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM anasema, mchango wa Hayati Baba Mtakatifu
15/11/2011 7.36.43
Uinjilishaji wa kina ni chanda na pete na utamadunisho Barani Afrika
Kardinali Polycarp Pengo, Rais wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM, wakati huu Mama Kanisa Barani Afrika
14/11/2011 7.32.59
Hali ya maisha na utume wa Kanisa Katoliki nchini Benin
Baadhi ya wadau wakuu katika hija ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita nchini Benin kuanzia tarehe 18 hadi 20 Novemba, 2011
14/11/2011 7.27.37
Ratiba ya hija ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Benedikto XVI nchini Benin
Amebarikiwa mtu yule ajaye kwa jina la Bwana kuwatangazia watu wa Afrika Habari Njema ya haki, amani na upatanisho. Huu ndio utenzi unaoimbwa na
12/11/2011 8.59.49
Kanisa Barani Afrika liko tayari kumpokea Baba Mtakatifu Benedikto XVI anapowasilisha matunda ya Awamu ya Pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika
Askofu mkuu Antoine Ganye, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Benin anasema, hija ya ishirini na mbili ya Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita
04/11/2011 8.21.05
Haki, amani na upatanisho ni wajibu na dhamana ya kichungaji; ni agizo la Kristo na hitaji msingi kwa Kanisa Barani Afrika
Askofu mkuu Norbert Wendelin Mtega wa Jimbo kuu la Songea ni kati ya wajumbe wa Sekretarieti ya Awamu ya Pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika. Katika
27/10/2011 8.31.00
Kanisa Barani Afrika linayo dhamana ya kuimarisha haki, amani na upatanisho
Waamini Barani Afrika wanaposubiri kwa hamu matunda ya Awamu ya pili ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika, iliyohitimishwa hapa mjini Vatican kunako mwaka
10/06/2011 8.39.38
Dhamana, mwamko na utambulisho wa Kanisa Barani Afrika katika Uinjilishaji wa kina
Maadhimisho ya kwanza ya Sinodi ya Maaskofu wa Afrika lilikuwa ni tukio lililotoa mwamko na utambulisho wa Kanisa Barani Afrika kwa kutambua zaidi
17/08/2010 8.32.23
Mwaka mmoja, baada ya kifo cha Askofu mkuu Antony Mayala!
Waamini wa Jimbo kuu la Mwanza wanajiandaa kuadhimisha kumbu kumbu ya Mwaka mmoja, tangu Askofu mkuu Antony Mayala alipofariki dunia. Katika makala
06/08/2010 7.53.45
Askofu Ruwaichi aelezea utekelezaji wa Sinodi ya Afrika na dhamana ya Kanisa katika masuala ya maadili na utu wema
Askofu Yuda Thadeus Ruwaichi, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika mahojiano maalum na Radio Vatican anabainisha kwamba, tangu baada
Chi siamo
Schedule
Contacts
DRM - DAB
Produzioni RV
Links
Elettrosmog
Museo RV
Altre lingue
Santa Sede
SCV
Cerimonie
All the contents on this site are copyrighted ©.
Webmaster
/
Credits
/
Note Legali